Ufafanuzi wa usumaku katika Kiswahili

usumaku

nominoPlural usumaku

  • 1

    hali ambayo kwayo vyuma au vitu vyenye asili ya chuma huvutwa au huvutana.

Matamshi

usumaku

/usumaku/