Ufafanuzi wa usungo katika Kiswahili

usungo

nominoPlural usungo

  • 1

    hali ya mwanamke kuwa mjinga wa mambo ya unyagoni.

Matamshi

usungo

/usungɔ/