Ufafanuzi wa usuria katika Kiswahili

usuria

nomino

  • 1

    hali ya mjakazi kufanywa kuwa mke wa bwana wake.

Asili

Kar

Matamshi

usuria

/usurija/