Ufafanuzi wa uswahilini katika Kiswahili

uswahilini

nominoPlural uswahilini

  • 1

    mahali wanapoishi Waswahili.

  • 2

    sehemu zilizo nje ya miji mikubwa ambamo wakazi wake wengi wana maisha ya hali ya chini.

Asili

Kar

Matamshi

uswahilini

/uswahilini/