Ufafanuzi wa utabibu katika Kiswahili

utabibu

nominoPlural utabibu

  • 1

    ustadi wa kazi ya kutibu, hasa hospitalini.

    uganga, dawa

Asili

Kar

Matamshi

utabibu

/utabibu/