Ufafanuzi wa utafunaji katika Kiswahili

utafunaji

nominoPlural utafunaji

  • 1

    namna ya kutafuna kitu.

Matamshi

utafunaji

/utafunaʄi/