Ufafanuzi wa utako katika Kiswahili

utako

nominoPlural tako

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    mkuku wa jahazi.

Matamshi

utako

/utakɔ/