Ufafanuzi wa utambuzi katika Kiswahili

utambuzi

nomino

  • 1

    namna au jinsi ya kung’amua.

    ubainifu, ujuaji

Matamshi

utambuzi

/utambuzi/