Ufafanuzi wa utando katika Kiswahili

utando

nominoPlural tando

  • 1

    kitanda cha buibui.

  • 2

    chochote kinachofunika kitu kingine kama utandabui.

    kiwambo

Matamshi

utando

/utandɔ/