Ufafanuzi wa utangazaji katika Kiswahili

utangazaji

nominoPlural utangazaji

  • 1

    tendo au kazi ya kusambaza taarifa kwa njia ya redio au televisheni.

  • 2

    shughuli ya kusambaza taarifa za kibiashara kuhusu bidhaa fulani.

Matamshi

utangazaji

/utangazaʄi/