Ufafanuzi wa utapiamlo katika Kiswahili

utapiamlo

nominoPlural utapiamlo

  • 1

    ugonjwa unaowapata zaidi watoto kutokana na ukosefu wa viinilishe vya kutosha katika chakula.

Matamshi

utapiamlo

/utapijamlɔ/