Ufafanuzi wa utaratibu katika Kiswahili

utaratibu

nomino

  • 1

    mpango maalumu wa kufuatwa katika kutekeleza jambo.

Asili

Kar

Matamshi

utaratibu

/utaratibu/