Ufafanuzi wa utarishi katika Kiswahili

utarishi

nominoPlural utarishi

  • 1

    kazi ya kuhudumia katika ofisi.

Matamshi

utarishi

/utari∫i/