Definition of Utatu Mtakatifu in Swahili

Utatu Mtakatifu

noun

Religion
  • 1

    imani ya madhehebu ya Ukristo kuwa Mungu yuko katika nafsi tatu, ‘Baba’, ‘Mwana’ na ‘Roho Mtakatifu’.

Pronunciation

Utatu Mtakatifu

/utatu mtakatifu/