Ufafanuzi msingi wa utatuzi katika Kiswahili

: utatuzi1utatuzi2

utatuzi1

nominoPlural utatuzi

  • 1

    tabia, agh. ya watoto wadogo, ya kupasua nguo mara kwa mara.

    ‘Mtoto huyu ana tabia ya utatuzi sana, nguo yake haimalizi mwezi’

Matamshi

utatuzi

/utatuzi/

Ufafanuzi msingi wa utatuzi katika Kiswahili

: utatuzi1utatuzi2

utatuzi2

nominoPlural utatuzi

Matamshi

utatuzi

/utatuzi/