Ufafanuzi msingi wa utegaji katika Kiswahili

: utegaji1utegaji2

utegaji1

nomino

  • 1

    namna au jinsi ya kutega ili kunasa kitu.

Matamshi

utegaji

/utɛgaʄi/

Ufafanuzi msingi wa utegaji katika Kiswahili

: utegaji1utegaji2

utegaji2

nomino

  • 1

    ukwepaji kazi.

Matamshi

utegaji

/utɛgaʄi/