Ufafanuzi wa uteketezaji katika Kiswahili

uteketezaji

nominoPlural uteketezaji

  • 1

    namna au jinsi ya kuangamiza.

    uteketevu

Matamshi

uteketezaji

/utɛkɛtɛzaʄi/