Ufafanuzi wa utelezi katika Kiswahili

utelezi

nominoPlural utelezi

  • 1

    hali ya kuteleza na kuanguka au kutaka kuanguka.

  • 2

    pahali panapoteleza.

Matamshi

utelezi

/utɛlɛzi/