Ufafanuzi wa utembo katika Kiswahili

utembo

nominoPlural utembo

  • 1

    nyuzinyuzi za miti ya aina ya minazi au mitende ambazo hutumiwa kama kamba au nyuzi.

    ufumwele

Matamshi

utembo

/utɛmbɔ/