Ufafanuzi wa utendekaji katika Kiswahili

utendekaji

nominoPlural utendekaji

  • 1

    uwezekano wa jambo fulani kutendeka.

Matamshi

utendekaji

/utɛndɛkaʄi/