Ufafanuzi wa utenguo katika Kiswahili

utenguo

nominoPlural utenguo

  • 1

    ubatilishaji wa k.v. sheria, tangazo au tendo.

    mbatilisho

Matamshi

utenguo

/utɛnguwɔ/