Ufafanuzi wa utenguzi katika Kiswahili

utenguzi

nominoPlural utenguzi

  • 1

    namna au jinsi ya kuweka upande; namna au jinsi ya kuharibu kilichotengenezwa.

Matamshi

utenguzi

/utɛnguzi/