Ufafanuzi msingi wa utenzi katika Kiswahili

: utenzi1utenzi2

utenzi1

nomino

  • 1

    namna au jinsi ya kufanya kazi.

    utendaji

Matamshi

utenzi

/utɛnzi/

Ufafanuzi msingi wa utenzi katika Kiswahili

: utenzi1utenzi2

utenzi2

nomino

kishairi
  • 1

    kishairi utungo mrefu wa kishairi unaoelezea historia au kisa fulani na ambao hauna vina vya kati katika mistari yake, bali kila ubeti una vina vya namna moja katika mistari yake isipokuwa mstari wa mwisho wa ubeti.

Asili

Kar

Matamshi

utenzi

/utɛnzi/