Ufafanuzi wa utifuaji katika Kiswahili

utifuaji

nominoPlural utifuaji

  • 1

    namna ya kutifua.

Asili

Kar

Matamshi

utifuaji

/utifuwaʄi/