Ufafanuzi wa utingo katika Kiswahili

utingo

nominoPlural utingo

  • 1

    mpakiaji na mpakuaji mizigo katika chombo k.v. gari.

    taniboi, mpigadebe

  • 2

    kazi ya taniboi.

Matamshi

utingo

/utingɔ/