Ufafanuzi msingi wa uto katika Kiswahili

: uto1uto2

uto1

nominoPlural uto

  • 1

    mafuta ya kitu k.v. ufuta, nyonyo au kweme.

Matamshi

uto

/utɔ/

Ufafanuzi msingi wa uto katika Kiswahili

: uto1uto2

uto2

nominoPlural uto

  • 1

    kitu ambacho ni safi na ni kiini cha kitu kingine.

    ‘Uto wa chuma’

Matamshi

uto

/utɔ/