Ufafanuzi msingi wa utondoti katika Kiswahili

: utondoti1utondoti2

utondoti1

nomino

  • 1

    pambo la fedha kama kidani kikubwa linalovaliwa kifuani mwa mwanamke.

Matamshi

utondoti

/utɔndɔti/

Ufafanuzi msingi wa utondoti katika Kiswahili

: utondoti1utondoti2

utondoti2

nomino

  • 1

    maelezo marefu kupita kiasi.

Matamshi

utondoti

/utɔndɔti/