Ufafanuzi wa utongozaji katika Kiswahili

utongozaji

nominoPlural utongozaji

  • 1

    tendo la kumshawishi mtu kwa maneno ili akubali matakwa yako.

  • 2

    namna au jinsi ya kumshawishi mtu ili akubaliane na yale unayotaka; ushawishi wa upeo wa hali ya juu.

    ubembe

Matamshi

utongozaji

/utɔngɔzaʄi/