Ufafanuzi wa utopasi katika Kiswahili

utopasi

nominoPlural utopasi

  • 1

    kazi ya kufagia njia na kukusanya taka mjini.

    uchura

  • 2

    kazi ya kusafisha choo.

    uchura

Matamshi

utopasi

/utɔpasi/