Ufafanuzi wa utoto katika Kiswahili

utoto

nomino

  • 1

    hali au tabia kama ya mtoto.

Matamshi

utoto

/utɔtɔ/