Ufafanuzi wa utovu katika Kiswahili

utovu

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa na.

  • 2

    hali ya kukosa, hasa adabu.

Matamshi

utovu

/utɔvu/