Ufafanuzi wa utumiaji katika Kiswahili

utumiaji

nomino

  • 1

    namna ya kutumia kitu.

    ‘Wataalamu wanasisitiza utumiaji wa mbolea ya samadi’
    matumizi

Matamshi

utumiaji

/utumijaŹ„i/