Ufafanuzi wa utunzaji katika Kiswahili

utunzaji

nominoPlural utunzaji

  • 1

    namna au jinsi ya kuweka kitu katika hali nzuri.

Matamshi

utunzaji

/utunzaʄi/