Ufafanuzi wa utupa katika Kiswahili

utupa

nominoPlural utupa

  • 1

    sumu itokayo kwenye mmea uitwao mtupa au mnyara ambayo agh. hutumika kuulia samaki.

    kiyuyu, kibaazi

Matamshi

utupa

/utupa/