Ufafanuzi wa utupu katika Kiswahili

utupu

nomino

  • 1

    uchi

  • 2

    hali ya kutokuwa na kitu.

    uwazi

Matamshi

utupu

/utupu/