Ufafanuzi wa utwalio katika Kiswahili

utwalio

nomino

  • 1

    ncha ya nguo k.v. shuka au kikoi ambayo hushikwa wakati wa kuvaliwa.

Matamshi

utwalio

/utwalijÉ”/