Ufafanuzi wa uuaji katika Kiswahili

uuaji

nomino

  • 1

    utoaji wa uhai wa kiumbe au binadamu.

Matamshi

uuaji

/u:waʄi/