Ufafanuzi wa uuguzi katika Kiswahili

uuguzi

nomino

  • 1

    jinsi, namna au kazi ya kuuguza.

    ualisaji, mauguzi

Matamshi

uuguzi

/u:guzi/