Ufafanuzi wa uundaji katika Kiswahili

uundaji

nominoPlural uundaji

  • 1

    jinsi au namna ya kuunda.

    utengenezaji, uunzi

Matamshi

uundaji

/u:ndaʄi/