Ufafanuzi wa uuzaji katika Kiswahili

uuzaji

nominoPlural uuzaji

  • 1

    namna au tendo la kuuza bidhaa au mali.

    mauzo

Matamshi

uuzaji

/u:zaʄi/