Ufafanuzi wa uvamizi katika Kiswahili

uvamizi

nomino

  • 1

    tendo la kushambulia kwa ghafla au kuingia na kumiliki sehemu isiyokuwa yako.

Matamshi

uvamizi

/uvamizi/