Ufafanuzi wa uvumbuzi katika Kiswahili

uvumbuzi

nominoPlural uvumbuzi

  • 1

    uonaji wa kitu kilichofichwa au kilichojificha.

    uvumbuaji, ugunduzi, fichuo, tunzo

  • 2

    uanzishaji wa kitu kwa mara ya kwanza.

Matamshi

uvumbuzi

/uvumbuzi/