Ufafanuzi wa uvumilivu katika Kiswahili

uvumilivu

nominoPlural uvumilivu

  • 1

    hali ya kustahimili machungu.

    ustahamilivu, saburi, stahamala

Asili

Kar

Matamshi

uvumilivu

/uvumilivu/