Ufafanuzi wa uvurungu katika Kiswahili

uvurungu

nominoPlural vurungu

  • 1

    kitu chenye uwazi ndani k.v. mwanzi au mpapai.

Matamshi

uvurungu

/uvurungu/