Ufafanuzi wa uwakili katika Kiswahili

uwakili

nominoPlural uwakili

  • 1

    kazi ya mtu mwenye uwezo au aliyepewa uwezo au aliyewekwa kuwakilisha serikali au mtu mwingine katika mashauri yake; kazi ya wakili.

Asili

Kar

Matamshi

uwakili

/uwakili/