Ufafanuzi wa uwakilishi katika Kiswahili

uwakilishi

nominoPlural uwakilishi

  • 1

    hali ya kuwakilisha au kuwakilishwa.

    ‘Uwakilishi wa wakulima hauna budi kuimarishwa’

Asili

Kar

Matamshi

uwakilishi

/uwakili∫i/