Ufafanuzi wa uwalii katika Kiswahili

uwalii

nominoPlural uwalii

Kidini
  • 1

    Kidini
    hali ya kuwa mcha Mungu sana.

    utawa

Asili

Kar

Matamshi

uwalii

/uwali:/