Ufafanuzi msingi wa uwanja katika Kiswahili

: uwanja1uwanja2

uwanja1

nomino

  • 1

    eneo la fani ya kitaaluma.

Matamshi

uwanja

/uwanʄa/

Ufafanuzi msingi wa uwanja katika Kiswahili

: uwanja1uwanja2

uwanja2

nomino

nomino

nomino

  • 1

    (nyanja)

    kiwanja, uga

Matamshi

uwanja

/uwanʄa/