Definition of uwasa in Swahili

uwasa

noun

  • 1

    ubao mwembamba na mwororo unaotumiwa na waashi kwa kuwekwa baina ya kuta mbili ili kuzuia mnepo, mtanuko au mpasuko wa nyumba.

Origin

Kar

Pronunciation

uwasa

/uwasa/