Ufafanuzi wa uwasii katika Kiswahili

uwasii

nomino

  • 1

    uteuzi wa mtu atakayetekeleza masharti ya mtoa wasia kama alivyotoa mwenyewe.

Matamshi

uwasii

/uwasi:/